Wanachama wa CCM mnaposhangilia ushindi mkumbuke kuwa kuna kipindi kigumu cha maisha kinakuja mbele yetu

Mawazo finyu
 
Mawazo finyu
 
Leo naona wazee wa mihemko wanalialia tuu...CCM ni chama kikubwa " If you can't fight them,Join THEM"

Congratulations in advance President Magufuli
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Ngoja tuone
 
Wewe ni Nani kuyazungumzia haya kwani hii dunia ni yako .....kwani hii dunia ni yako we kidera
 
Mimi bado kijana mdogo, around 31. Nimeanza kujitegemea 2015. Nishajenga dar na nina usafiri wa uhakika. Ni mtumishi wa umma. Hivyo sina maisha magumu kivile.
Nimezungumza kwaajili ya umma wa Kitanzania
Kijana hivyo vinyumba na kagari ulichonacho sio kitu kupotea ni maramoja sasa kuja kuvirudisha kwa mfumo huu mpya itakuwa kazi Omba sana Mungu acha majivuno
 
Fikra za kifala kabisa hizo, nenda kaoge kwanza halafu urudi tena kusoma ukichokiandika
 
Fanyeni kazi kwa bidii, acheni kulialia hapa kazi tu.Tundu Lissu anzisha chama chako,achana na hilo genge la wahuni.
 
Uzuri ni kwamba kikotoo kitatafuna wote..ikitokea ugumu utatafuna wote ..ikitokea vikwazo tokea mataifa ya magharibi itatafuna wote .

Tuombe uzima na umri mrefu
Hayo ulotaja yakidhihiri, umri mrefu utatoka wapi?
 
Watz wanaipenda sana ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…