Wanachama wa CCM wanaolalamika majina kukatwa ni wajinga wa kupuuzwa

Wanachama wa CCM wanaolalamika majina kukatwa ni wajinga wa kupuuzwa

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
64,960
Reaction score
111,265
Mwanachama wa CCM anayelalamika kukatwa kwa jina lake au majina ya watu aliokuwa anawataka kugombea ni mtu mjinga wa kupuuzwa na asiyejielewa.

Kama ulikubali kupitishwa kwa majina ya wagombea ni jambo la siri la vikao na kamati za chama zina mamlaka ya kufanya teuzi kwa vigezo wanavyovijua wao tu kwa nini ulalamike jina lako au jina la fulani kukatwa?
 
Back
Top Bottom