GE2025 Wanachama wa CCM warudisha kadi, baisikeli na pikipiki za chama baada ya kuenguliwa kwa majina udiwani

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Wanachama wa chama cha mapinduzi katika kijiji cha Mkwedu kata ya Mkwedu wilayani Newala mkoa wa Mtwara wamerudisha kazi za chama haicho, baiskeli na pikipiki kwa sababu ya kuenguliwa kwa majina ya wagombea udiwani. Hayo yamejiri 31 July 2025

.
IMG-20250801-WA0084.jpg
 
Sasa majina yote yamerudi… watakwenda kuziokota?? 😂😂
 
Wanachama wa chama cha mapinduzi katika kijiji cha Mkwedu kata ya Mkwedu wilayani Newala mkoa wa Mtwara wamerudisha kazi za chama haicho, baiskeli na pikipiki kwa sababu ya kuenguliwa kwa majina ya wagombea udiwani. Hayo yamejiri 31 July 2025

Lucas,Tlatlah,Fanuku,Chiembe&co Mukuje kwa huku mtuthibitishie mnavyopendwa na wavuja jasho wazalendo wa taifa letu pendwa Tanzania.
 
Back
Top Bottom