Wanachama wa CHADEMA sasa wamethibitisha kuwa Mbowe ni msaliti wa mapambano ya haki

Wanachama wa CHADEMA sasa wamethibitisha kuwa Mbowe ni msaliti wa mapambano ya haki

TIETA

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2025
Posts
1,201
Reaction score
3,345
Kitendo cha Mbowe kuonekana pamoja na wauaji kwangu mimi nimekifurahia sana kwa sababu zifuatazo
1. Wanachama wa CHADEMA sasa wamethibitisha kuwa Mbowe ni msaliti wa mapambano ya haki na hayuko na CHADEMA. Bali yuko na CCM.

2. CHADEMA watakuja na mikakati ya kumdhibiti katika baraza kuu kwa sababu wameshajua yeye sio mwenzao na kuna baadhi ya mikakati ya siri ya CHADEMA sasa Mbowe hatakuwa anaushishwa

3.Kwa kitendo cha Mbowe watu wengi wamezidi kuipenda na kuwa na sympathy na CHADEMA. Na kujua kuwa CHADEMA inapigwa vita si tu na CCM bali na hata people within.

MTI WENYE MATUNDA NDIO UNAOPIGWA MAWE.

CHADEMA mpo kwenye right track, don't give up, press on, there is a light at the end of the tunnel
 
Back
Top Bottom