PreGE2025 Wanachama wa CHADEMA walioteswa kisha kurekodiwa, video hizo ni kwa ajili ya nini?

PreGE2025 Wanachama wa CHADEMA walioteswa kisha kurekodiwa, video hizo ni kwa ajili ya nini?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mto wa mbu

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2021
Posts
4,507
Reaction score
11,367
Leo mzee mmoja wa chadema, na mwanamke mmoja mwanachama hai wa chadema, wameongea na Wana habari, na kusimulia yaliyowakuta Jana, Jana watu walitekwa ,pigwa ,vunjwa miguu na wengine kupigwa na kurekodiwa

Izo picha na video ni kwaajili ya nini?
 
Blackmailing.

Mbinu za kizamani sana zinatumika.

Hizi ni mbinu zilizotumika 1970-1980 huko.
Siku hizi hakuna anayejali, kama anapigania haki hata ukimpiga picha cha uchi bado kesho atakuja tu kusimamia haki.

CDM pelekeni malalamiko Amnesty International, Nendeni AU, Nendeni EU na hata mahakama za kimataifa kudai haki zenu.
 
Leo mzee mmoja wa chadema, na mwanamke mmoja mwanachama hai wa chadema, wameongea na Wana habari, na kusimulia yaliyowakuta Jana, Jana watu walitekwa ,pigwa ,vunjwa miguu na wengine kupigwa picha za uchi.

Izo picha za uchi zinapelekwa wapi? Wanawaonesha kina nani? Au zinaenda kuuzwa wapi?
Mhh
 
unazo hapo hizo picha mototo wa mbu au ni stori tu?🐒
 
Attachments

  • IMG_20230308_125209.jpg
    IMG_20230308_125209.jpg
    399.3 KB · Views: 17
Kompromat muhimu, hata za wazee wa TEC zipo
 
Leo mzee mmoja wa chadema, na mwanamke mmoja mwanachama hai wa chadema, wameongea na Wana habari, na kusimulia yaliyowakuta Jana, Jana watu walitekwa ,pigwa ,vunjwa miguu na wengine kupigwa picha za uchi.

Izo picha za uchi zinapelekwa wapi? Wanawaonesha kina nani? Au zinaenda kuuzwa wapi?

Mama yuko kazini.

Ila ukweli mchungu sasa hivi hata CHADEMA akimua kuingia uchaguzi bila tume huru, hatoboi.

Tlaat'laah, Lukasi bubujikweni machozi ya furaha, hayawi hayawi, hatimaye amefikiwa!
 
Ni kwa ajili ya watoto na wajukuu wao wataokuja kushuhudia kwa macho yao namna policcm wanavyotumiwa na watawala kuwatesa na kuwaumiza raia wasio na hatia kwenye hii nchi.
 
Back
Top Bottom