Wanachama wa JamiiForums waliotambuliwa kwa kuwa na michango chanya Jukwaani kwa mwaka 2024

Lucas yuko wapi? Chiembe je na Choice variable?
😂😂😂
 
Ilitakiwa mtoe hii
Mlitakiwa mtoe hii list December
 

Nyi watu mnashangaza sana, mnataka kila wakati ashinde Mshana Jr na Pascal Mayalla kwani JF ina hao watu wawili tu?

Afu kila jukwaa lina umuhimi wake, wewe kama unapenda philosophy, politics na mwngine anayewakosha kwenye burudani kama Nifah naye ni wa muhimu vile vile, kila mtu anachagua anapopapenda.

Mkuu Mad Max nimependa vibe lako, nkipata mkoko wangu ntakuja nipate moja mbili tatu kutoka kwa kigogo bahari😹😹

Hongera sana JF kwa kuthamini mchango wa kila mtu JF.
 
Mshakula?
Subiru
Hivi izi sio kodi zetu izi mnazokunywa uko?
JF sio mamlaka ya mapato 🏃🏿
Nawapongeza kwa dhati ya moyo❤❤❤❤❤
mkuu, jf headquarters wamekutenga sijui. Unachapisha sana thread bora hapa jukwaani.
Hapana mkuu akishinda mmoja tunashinda wote... Wachachr
Madam Cute Wife with all due respect naomba urekebishe andiko lako.. Mimi si mmoja wa washindi ..! Asante sana 🙏🏿
 
Naishukuru JamiiForums kwa kuutambua mchango wangu hapa jukwaani, na pia kwa kunipa nafasi ya kuwasilisha kupitia hadhira hii kile nilichojaaliwa (Uandishi wa udaku & burudani kiujumla wake)
Siku zote nimekuwa nikisema JamiiForums ni nyumbani, nafurahi kuwa hapa.

Kiupekee kabisa nikishukuru chanzo changu, kimekuwa kikinipa habari nyingi nyeti. Nyingine ni nyeti sana hadi inabidi nishauriwe kuziacha kuepuka dhahma, na nyingine nimekuwa nikikosa nafasi ya kuzileta hapa kutokana na kubanwa na majukumu mengine.

Namaanisha kwamba chanzo changu sio mchezo, nina habari nyingi sana. Ambazo nimeziwasilisha hapa ni robo tu ya ninazoletewa.

Utambuzi huu kutoka JamiiForums umenipa chachu ya kutenga muda zaidi kuwasilisha habari nyingi zaidi kwa kadiri nitakavyozipata, shughuli ndio imeanza.

Nawashukuru wale wote walioweka imani katika taarifa zote ninazozileta hapa, nawatambua wote na nawashukuru sana. Imani yenu kwangu ndiyo inayonipa nguvu ya kuwaletea taarifa zaidi, asanteni.

Nifah.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…