Wanachama wa JamiiForums waliotambuliwa kwa kuwa na michango chanya Jukwaani kwa mwaka 2024

Imekaa sawa..nimecheka Mad Max alivyomshiriki wa ule uzi wa mshahara wa januari.....
 
sawa hao ni mastriker je na sisi mawinga na viungo wakabaji tuna ingia wapi
 
Jf haiwezi kutambua wanachama wa Chama Tawala Kwa sababu wao wanaegemea Upinzani.

By the way ilitakiwa Kila jukwaa watambue walau Mwanachama mmja.

Bila kumtambua Lucas haijakaa sawa
 
Jf haiwezi kutambua wanachama wa Chama Tawala Kwa sababu wao wanaegemea Upinzani.

By the way ilitakiwa Kila jukwaa watambue walau Mwanachama mmja.

Bila kumtambua Lucas haijakaa sawa
Mkuu, huyu Lucas Mwashambwa akipewa tuzo patachafuka sana humu kwa malalamiko,
Lucas atapewa tuzo ya kofia na tisheti inatosha.

πŸ˜€
 
Mwamba anajitahidi sana licha ya kebehi na maudhi lakini hajawahi kurudi nyuma...hii ndo sprit ya true leader
Upo sahihi kabisa,halafu jamaa ni mvumilivu sana,kuna muda anatukanwa ila anakua cool tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…