Wanachama wa JamiiForums waliotambuliwa kwa kuwa na michango chanya Jukwaani kwa mwaka 2024

Naona wanazingatia uandishi wa threads zaidi na si uchanguaji.
Nimewashauri humu pia waangalie na wachangiaji,sometimes mtu anaweza kuchangia ''comment'' yenye elimu zaidi au yenye manufaa zaidi kuliko hata mada husika au kuliko hata mleta mada,sio watu wote humu hua wanapenda kuanzisha nyuzi,wengine hupenda kuchangia tu.

Moderator
 

Liko sawia lilivyo, uliwahi kushinda mshindi wa mwaka wakati fulani si ndio, wanachama walipiga kura JF ikatambua mchango wako, wengine wakishinda ni vizuri pia sababu mchango wao pia ni muhimu, sijasema wewe ni mshindi wa mwaka huu😊
 
Mshakula?
Subiru
Hivi izi sio kodi zetu izi mnazokunywa uko?
JF sio mamlaka ya mapato πŸƒπŸΏ
Nawapongeza kwa dhati ya moyo❀❀❀❀❀
mkuu, jf headquarters wamekutenga sijui. Unachapisha sana thread bora hapa jukwaani.
Hapana mkuu akishinda mmoja tunashinda wote... Wachachr
Madam Cute Wife with all due respect naomba urekebishe andiko lako.. Mimi si mmoja wa washindi ..!
Liko sawia lilivyo, uliwahi kushinda mshindi wa mwaka wakati fulani si ndio, wanachama walipiga kura JF ikatambua mchango wako, wengine wakishinda ni vizuri pia sababu mchango wao pia ni muhimu, sijasema wewe ni mshindi wa mwaka huu😊
Hapo imekaa sawa. Akishinda mmoja tunashinda wote πŸ’ͺ🏿
 

Shukrani Sana Wakuu.
Nimefarijika Sana
 
Mmetenda haki kweli kweli. Mimi ningewapanga hivi,
1. Mad Max
2. Mwl.RCT
3. Nifah
4. Robert Heriel Mtibeli
5. SteveMollel

Overall Mad Max is very good at what he does.
 
kiukweli wahusika wametenda haki. Kiufupi wote mnastahili.
It seems CCM hawakushilikishwa kwenye huu mchakato πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Nifah hongera kweli, unamuenzi vema kipenzi chetu warumi. Personally naikubali michango yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…