Wanachama wa JamiiForums waliotambuliwa kwa kuwa na michango chanya Jukwaani kwa mwaka 2024

Yule hayuko neutral ni Mwana CCM, tunamafahamu
 
Mshakula?
Subiru
Hivi izi sio kodi zetu izi mnazokunywa uko?
JF sio mamlaka ya mapato πŸƒπŸΏ
Nawapongeza kwa dhati ya moyo❀❀❀❀❀
 
Hongereni sana. Naunga mkono kwa list hii, naiona kazi ilifanyika vizuri sana kwa kuyapata majina haya. Hongera kwa timu ya JF.

Hongera sana Nifah

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…