Wanachama wa JamiiForums waliotambuliwa kwa kuwa na michango chanya Jukwaani kwa mwaka 2024

Mshakula?
Subiru
Hivi izi sio kodi zetu izi mnazokunywa uko?
JF sio mamlaka ya mapato 🏃🏿
Nawapongeza kwa dhati ya moyo❤❤❤❤❤
mkuu, jf headquarters wamekutenga sijui. Unachapisha sana thread bora hapa jukwaani.
Hapana mkuu akishinda mmoja tunashinda wote... Watched ni kiwakilishi cha wengi
 
Mi Mgeni Alphamale sijui mtanitambua? Msimsahau Mchawi mstaafu Mshana Jr mtu mzuri na mwema aliyefanya nami nijiunge JF.
Huyo Mshana Jr atatambuliwa kwenye orodha ya members wenye michango hasi (negative). Orodha itakuwa km hivi:
Mshana Jr: Mwanajamii huyu ametambuliwa kwa michango yake hasi ya kushadadia ubaguzi wa kikabila kwenye jamii.
Mdude Nyagali: Mwanajamii huyu ametambuliwa kwa michango yake hasi ya kutukana ovyo ovyo.
Na wengine watafuatia.
Btw, Hongera kwa waliotambuliwa kwa michango yao kwenye jukwaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…