Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
Ndio keshkuwa baba anguUmemganda
Ntaitaja ipo sikuUngetutajia ID yake ili tuewze kumchagua ndio ingependeza zaidi
SawaNtaitaja ipo siku
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mwenyekiti wa udukuzi awe
Mwifwa
😳 😀 😀 😀Natoa pendekezo hapa kwa wana jf mliomo humu tuanzishe mchakato wa uongozi kama vyuo vikuu, Tff, au hata Nchi, yaani kuwe na rais,makamu,waziri mkuu,waziri wa ulinzi nk.mimi naanza kumpendekeza Rais awe Paskal mayalla, makamu awe mshana Jr, endeleeni
Msaidizi wa makamu awe DemissNatoa pendekezo hapa kwa wana jf mliomo humu tuanzishe mchakato wa uongozi kama vyuo vikuu, Tff, au hata Nchi, yaani kuwe na rais,makamu,waziri mkuu,waziri wa ulinzi nk.mimi naanza kumpendekeza Rais awe Paskal mayalla, makamu awe mshana Jr, endeleeni
Hahahaaa watakuja sasa hivi...[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Yan angekosekana jina la mme wangu Mshana nisingekubali
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]waje tuHahahaaa watakuja sasa hivi...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sina cha kuchangia maana mi najua nita taja ndugu zangu wapewe hivyo vyeo kwanza ndo wengine wafuateHahahahahaaa.
Nini maoni yako?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sina cha kuchangia maana mi najua nita taja ndugu zangu wapewe hivyo vyeo kwanza ndo wengine wafuate
Wataniteka mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Bila shaka hiyo nafasi inakufaa mkuu
Siku hizi hawateki, ila sisi tunajiteka.Wataniteka mkuu
[emoji106] [emoji106] [emoji106][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sawa mkuu
Kwa jukwaa hili hili only nadhani ....Duuuh hivi vyeo