Wanachama wa JF

Wanachama wa JF

Natoa pendekezo hapa kwa wana jf mliomo humu tuanzishe mchakato wa uongozi kama vyuo vikuu, Tff, au hata Nchi, yaani kuwe na rais,makamu,waziri mkuu,waziri wa ulinzi nk.mimi naanza kumpendekeza Rais awe Paskal mayalla, makamu awe mshana Jr, endeleeni
😳 😀 😀 😀
 
Msaidizi wa makamu awe Demiss
 
Back
Top Bottom