Sawa MkuuKwa jukwaa hili hili only nadhani ....
Mwenyekiti atalifanyia kazi hili ombi lakoMbona Gudume hamjampa wizara?
Hizi ndagu hizi zitawafanya watu wawe machizi.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Yan angekosekana jina la mme wangu Mshana nisingekubali
Tayar machizi unataka tuwe machizi mara ngapiHizi ndagu hizi zitawafanya watu wawe machizi.
Waziri wa shida na mipango ya ghafla[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Waziri wa Afya jinsia na watoto angekuwa Maserati
Waziri wa ulinzi angekuwa Mshana Jr
Waziri wa Michezo angekuwa @FORTULLEZA
Waziri wa nyumba na ,kazi angekuwa Maxence Melo
Waziri wa Maliasili na Utalii angekuwa Malcom LUMUMBA
Wazziri wa Kilimo angekuwa [USER=540]JamiiForums
Spika wa bunge angekuwa FaizaFoxy
Waziri wa mambo ya nje Nyani Ngabu
waziri wa shida na mipango ya ghafla Joseverest
waziri wa mawasiliano na udukuzi Mwifwa
Waziri wa sheria Invisible
waziri wa umbea na michambo deile Sky Eclat[/USER]
Waziri Wa Mwendokasi Joseverete cjui [emoji37][emoji37]
Mzizimkavu wa afyaRais awe pascal manyala waziri mkuu awe mzizimkavu
Hahahaaa siyo ndagu ni mahabaHizi ndagu hizi zitawafanya watu wawe machizi.
Naibu ni msaga sumuKatibu mhariri wa umbea awe
Warumi
Msaidiz wake n hance mtanashatNaibu ni msaga sumu
Huyu waziri wa afya sijamkubali kukaa nafasi hiyo aindolewe haraka sana.Raisi mshana Jr,
makamu kiranga,
Napoleon waziri wa mahusiano na jinsia,
Spika wa bunge Dinazarde, GENTAMYCINE Waziri wa mambo ya ndani,
Waziri wa michezo na burudani bitoz,
Waziri wa elimu Faiza fox,
Waziri wa afya mulhat mpunga