Wanachama wa JF

Wanachama wa JF

Rais awe pascal manyala waziri mkuu awe mzizimkavu
 
Hapo pa spika wa bunge tu ndio pamenichefua,ningekuwa nagombana nae Kila siku.
 
Waziri wa Afya jinsia na watoto angekuwa Maserati

Waziri wa ulinzi angekuwa Mshana Jr

Waziri wa Michezo angekuwa @FORTULLEZA

Waziri wa nyumba na ,kazi angekuwa Maxence Melo

Waziri wa Maliasili na Utalii angekuwa Malcom LUMUMBA

Wazziri wa Kilimo angekuwa [USER=540]JamiiForums


Spika wa bunge angekuwa FaizaFoxy

Waziri wa mambo ya nje Nyani Ngabu

waziri wa shida na mipango ya ghafla Joseverest

waziri wa mawasiliano na udukuzi Mwifwa

Waziri wa sheria Invisible

waziri wa umbea na michambo deile Sky Eclat[/USER]
Waziri wa shida na mipango ya ghafla[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Waziri Wa Mwendokasi Joseverete cjui [emoji37][emoji37]
 
Raisi mshana Jr,
makamu kiranga,
Napoleon waziri wa mahusiano na jinsia,
Spika wa bunge Dinazarde, GENTAMYCINE Waziri wa mambo ya ndani,
Waziri wa michezo na burudani bitoz,
Waziri wa elimu Faiza fox,
Waziri wa afya mulhat mpunga
 
Raisi mshana Jr,
makamu kiranga,
Napoleon waziri wa mahusiano na jinsia,
Spika wa bunge Dinazarde, GENTAMYCINE Waziri wa mambo ya ndani,
Waziri wa michezo na burudani bitoz,
Waziri wa elimu Faiza fox,
Waziri wa afya mulhat mpunga
Huyu waziri wa afya sijamkubali kukaa nafasi hiyo aindolewe haraka sana.
 
Back
Top Bottom