Wanachama wa kamati ya usalama Urusi wakiri "special operation" imeshindikana

Uzuri unazisoma hizo hizo habari na lengo lake linatimia la kukupasha kinachoendelea. Swala la kusema za kubumba au la hilo linabaki kwa serikali ya kichwa chako kuamua.
Sawa nasoma lakini nikitafuta kwenye vyanzo vingine asilimia kubwa nakuta ni issue ya kubumba!Ndio maana huyo jamaa hapati wachangiaji siku hizi!
 
Mkuu swala hapa ni habari imefika,wachangie au wasichangie hilo sidhani kama ni la msingi sana.Kwakuwa unaangalia angle ya uchangiaji wa comments,basi angalia pia na wangapi wameview mada zake na hapo ndipo penye lengo kuu la kusoma alichokileta.
 
Sasa hata kama umeview,na habari ni ya uongo,inakuwa na faida gani?Ukisema jambo la uongo humu JF,unafaidika Nini?
Bora wafanye propaganda wanaopigana Ili kutokana morali,Sasa sisi wanaJF tukianza kutengeneza habari za uongo,Zina faida gani?
 
Tatizo naloliona kwako ni kwamba unakereka na mada zake kwakuwa analeta kile ambacho hupendi kukisikia basi.Unataka kuniambia wote Pro Russia hapa wanaleta habari za kweli? Mbona hujawahi kukosoa habari zao,jibu ni simple tu kwakuwa hao wanakuletea kile akili yako inataka kusikia na unakifurahia.
 
Nimemuona huyu na habari za uongo zaidi ya mara 4!Wewe kama umeona mwingine mchane Ili tuwe na jukwaa safi!Wala sio kesi!
 
Sawa nasoma lakini nikitafuta kwenye vyanzo vingine asilimia kubwa nakuta ni issue ya kubumba!Ndio maana huyo jamaa hapati wachangiaji siku hizi!

Hahaha! Kumbe unanijadili, siku nyingine uwe unanitag pale unanijadili, safi sana kumbe sindano inawaingia, aisei takbirr......mtakoma yaani, kejeli zimepungua, vilianzia Crimea vitaishia Crimea....
 
Siwezi kukutag maana nakujua umejitoa ufahamu!
 
Back
Top Bottom