Bibi shikilia hapo hapo. Mtasema kila kituWanakumbi.
๐ฎ๐ฑ Wanachama wa muungano wa Netanyahu wanatayarisha Mswada unaolenga kuwafunga Wakristo kwa kushiriki Injili na kuwaambia watu kuhusu Yesu...
๐ Wanasema demokrasia pekee katika Mashariki ya Kati.
View: https://x.com/dmodoscutter/status/1775186381305729130?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Kubwa jinga hilo don't waste your time!Bibi shikilia hapo hapo. Mtasema kila kitu
Haujakiona chanzo?Bibi shikilia hapo hapo. Mtasema kila kitu
Hakuna mkristo anaunga mkono mauaji,bali tunalaani kitendo cha Hamas kufanya mauaji ya kinyama dhidi ya wayahudi bila kuchokozwa.Ukristo ndio msingi wa amani duniani kwa kuwa Yesu kristo ni bwana wa amani.Na Wakristo wengi nchini Tanzania, wanaunga mkono mauaji ya kimbari ya Israeli wakidhani Israeli itashiriki mambo yao na maeneo matakatifu pamoja nao.
Is it that Jesus was born in Zanzibar among greedy fasting Moslems who salivate upon seeing Christians eating foods during Ramadan?Christians who worship israel must watch this. They don't understand that israel isn't a birth place where Jesus was born.๐
Shida yako hujui ukristo ni ninj ndo maana unasumbuka sana. Hiyo sheria hata ikitungwa siyo kitu kipya kwani ipo wazi kwamba Wayahudi hawajawahi kumkubali Jesus na wakristo wanajua hilo.Wanakumbi.
๐ฎ๐ฑ Wanachama wa muungano wa Netanyahu wanatayarisha Mswada unaolenga kuwafunga Wakristo kwa kushiriki Injili na kuwaambia watu kuhusu Yesu...
๐ Wanasema demokrasia pekee katika Mashariki ya Kati.
View: https://x.com/dmodoscutter/status/1775186381305729130?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Netanyahu's coalition members prepare a Bill that seeks to imprison Christians for sharing the Gospel & telling people about Jesus...Shida yako hujui ukristo ni ninj ndo maana unasumbuka sana. Hiyo sheria hata ikitungwa siyo kitu kipya kwani ipo wazi kwamba Wayahudi hawajawahi kumkubali Jesus na wakristo wanajua hilo.
Pambana na yanayokuhusu ambayo unayaelewa vizuri achana na yaliyo nje ya ufahamu wako.
Asante
Mada hiiiIs it that Jesus was born in Zanzibar among greedy fasting Moslems who salivate upon seeing Christians eating foods during Ramadan?
Wapalestina wachokozwe nini tena na wanauliwa kwa miaka zaidi ya 70 mfululizo? Ulikuwa huyajuwi hayo?Hakuna mkristo anaunga mkono mauaji,bali tunalaani kitendo cha Hamas kufanya mauaji ya kinyama dhidi ya wayahudi bila kuchokozwa.Ukristo ndio msingi wa amani duniani kwa kuwa Yesu kristo ni bwana wa amani.
Wewe ufahamu chochote kuhusu Palestina ungekuwa unajua usingeandika huu uharo.Hakuna mkristo anaunga mkono mauaji,bali tunalaani kitendo cha Hamas kufanya mauaji ya kinyama dhidi ya wayahudi bila kuchokozwa.Ukristo ndio msingi wa amani duniani kwa kuwa Yesu kristo ni bwana wa amani.
Hao wengine wakurupukaji tu, hata hawaelewi wanachokiongea. ili mradi tu atie lake kwa upeo wake finyu.Wewe ufahamu chochote kuhusu Palestina ungekuwa unajua usingeandika huu uharo.
Ndiyo maana nimemwambia hafahamu chochote kuhusu Palestina hawa wagalatia wengi wa JF ni mambumbu ni mashabiki mandazi.Wapalestina wachokozwe nini tena na wanauliwa kwa miaka zaidi ya 70 mfululizo? Ulikuwa huyajuwi hayo?
Hao mazayuni na wakristo ni picha mbili tofauti. Unafikiri wanasahau walivyouliwa Ulaya na wakristo?
Utakuta ni vile vijitu visivyopenda hata kujisomea vipate uelewa.Ndiyo maana nimemwambia hafahamu chochote kuhusu Palestina hawa wagalatia wengi wa JF ni mambumbu ni mashabiki mandazi.
We unajua nini bwege weweNdiyo maana nimemwambia hafahamu chochote kuhusu Palestina hawa wagalatia wengi wa JF ni mambumbu ni mashabiki mandazi.