Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
- Thread starter
- #21
Stalin...Huwa ni makusudi au niaje?
Theme moja ila ina maandiko zaidi ya 50+......
Ushaiandikia kitabu, Umeshaiandikia Journals na mabandiko kibao.
Je Tanganyika na Tanzania zilikoma baada ya Hapo.
Kama lengo ni kupeana historia, kuna theme Nyingi za kuzungumza, vitu vingi vya kuzungumza.
Lakini hujataka kufanya hivyo, kwa umri wango ungeweza hata kutusaidia Historia Nyingine, kama Vita ya Kagera, kuingia kwa vyama Vingi, privatization etc.
Ila umekomaa na Theme moja kila siku, haielimishi Tena, its annoying.
Kwani hairuhusiwi kwa mtu kuwa na "specialisation?"
Au hujui umuhimu wa mtu kuwa bingwa katika somo moja?
Ikiwa huu uzamivu wangu katika Uislam na Siasa unakuudhi acha kusoma.
It is this simple.