SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Machame sijawahi fika na mimi niko mjini hapo wakati wewe unafuta kamasi kwa ngumi kwenu huko wang'ingombe umekuja mjini hapa tunakuona na suruali yako bwanga leo kila siku unasimulia utafikiri huu mji umeujenga wewe mshamba mmoja wewe.Wakati huo Wewe ulikuwa unalisha nguruwe Machame
Chadema umeijua Juzi tu ndio sababu Mbowe anawadanganya alianzisha Chadema πππ
Mbowe usiwaachie chama wahuni.Hao wote wahuni huni tu
Sasa kwanini huelewi Tuntemeke Sanga alitumia Katiba ya NCCR Mageuzi kuanzisha Chadema kupitia Kwa Hayati Amani πΌMachame sijawahi fika na mimi niko mjini hapo wakati wewe unafuta kamasi kwa ngumi kwenu huko wang'ingombe umekuja mjini hapa tunakuona na suruali yako bwanga leo kila siku unasimulia utafikiri huu mji umeujenga wewe mshamba mmoja wewe.
Too late. Maccm mna ujinga mwingi sanaMbowe usiwaachie chama wahuni.
Huo ubishi wako wa kilevi baki nao mwenyewe.Sasa kwanini huelewi Tuntemeke Sanga alitumia Katiba ya NCCR Mageuzi kuanzisha Chadema kupitia Kwa Hayati Amani πΌ
Hapo Chadema naweza kubishana na Mrangi Ova tu πππHuo ubishi wako wa kilevi baki nao mwenyewe.
Kapate Serengeti Lite upoze hivyo visungura kwanza.Hapo Chadema naweza kubishana na Mrangi Ova tu πππ
Leo mnacheza tukunyema bila kutaka. Uchaguzi wa CHADEMA ila jakamoyo mnalo nyie watu CCM.Mbowe usiwaachie chama wahuni.
Mpaka kutoa Siri za ndani ni kampeni!ππππ!!Mpaka hapa hakuna fujo ni kampeni tu
Siri za CHADEMA ni yale mambo yanayokuwa yamejadiliwa kwenye vikao rasmi vya chama.Mpaka kutoa Siri za ndani ni kampeni!ππππ!!
Sawa. Maana sasa hivi kuropoka kunaitwa kusema ukweli.Siri za CHADEMA ni yale mambo yanayokuwa yamejadiliwa kwenye vikao rasmi vya chama.
Aliyoeleza Lema ni vikao vyao binafsi kama marafiki ndani ya chama na si vikao rasmi.
Kuropoka ni kuropoka tu na kusema ukweli ni kusema ukweli. Hayo mambo mawili hayafanani.Sawa. Maana sasa hivi kuropoka kunaitwa kusema ukweli.
Duh kwa Maria tenaππhatari tupu!!Walipotoka hakuridiki, chadema hakukaliki. Maria space yatakuwa makazi yao
Wewe mwenyewe ulitaka kutimka chadema hapa kwa sababu zilezile wanazozitoa wenzako sasa. Tulia sultani ashughulikiwe1. Lissu A
2. G Lema
3. Msigwa
Ngongo kwasasa Kizimkazi