SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Machame sijawahi fika na mimi niko mjini hapo wakati wewe unafuta kamasi kwa ngumi kwenu huko wang'ingombe umekuja mjini hapa tunakuona na suruali yako bwanga leo kila siku unasimulia utafikiri huu mji umeujenga wewe mshamba mmoja wewe.Wakati huo Wewe ulikuwa unalisha nguruwe Machame
Chadema umeijua Juzi tu ndio sababu Mbowe anawadanganya alianzisha Chadema 😂😂😂