Kila Utopolo atachanganyikiwa Kwa wakati wakeUongozi wa Simba unatuona mashabiki na Wanachama wa Simba mbumbumbu kama alivotuita Rage pale kwenye ukumbi wa polisi Oystabay aliwaita Wanachama wa Simba ni mbumbumbu
Mwekezaji mkuu Mo mwenye 49% ameweka 20 billions ( hewa) miaka 10 haijawahi kuingiza kwenye account
Muuza jersey J Rutty anaweka b 38 miaka 5, na offer za uongo
Yaani j Ruty aweke mkwanja kumzidi mwekezaji mkuu
Kama mo hajawekeza pesa kwani Simba ilikuwa inaendeshwa na fedha za mama yako?Uongozi wa Simba unatuona mashabiki na Wanachama wa Simba mbumbumbu kama alivotuita Rage pale kwenye ukumbi wa polisi Oystabay aliwaita Wanachama wa Simba ni mbumbumbu
Mwekezaji mkuu Mo mwenye 49% ameweka 20 billions ( hewa) miaka 10 haijawahi kuingiza kwenye account
Muuza jersey J Rutty anaweka b 38 miaka 5, na offer za uongo
Yaani j Ruty aweke mkwanja kumzidi mwekezaji mkuu
Kama allnavyowapelekesha MO mara asuse mnamlamba miguu mara atishie kusepa, yaani balaa tupuUtopolo mnaishi kwa hisani siku GSM akikasirika wachezaji hawana uhakika wa kula mchana
Mo hata akisusa kashaweka Hisa, vipi GSM?Kama allnavyowapelekesha MO mara asuse mnamlamba miguu mara atishie kusepa, yaani balaa tupu
Daah mpira tu unatukana hivi ila jua ukimtukana mzazi wa mtu mwingine ni Sawa na kumtukania mzazi wako ni vile hivi vitu vijana hamjapewa na karma yake ni mbaya sana.Kama mo hajawekeza pesa kwani Simba ilikuwa inaendeshwa na fedha za mama yako?
Ziko wapi? Hahahahha kweli Rage hakukoseaMo hata akisusa kashaweka Hisa, vipi GSM?
GSM anawapiga sana uto-polo lakini wao wanadhani kuwa anawasaidia.Mo hata akisusa kashaweka Hisa, vipi GSM?