Wanachama wa Simba tunapumbazwa na viongozi

Ila boss unahangaika sana, mara usifie ukitaka Yanga waige, mara utoe maoni hiyo pesa ni ndogo mara useme ni uongo.

Yaani jambo moja unalitolea maoni tofauti yanayojipinga yenyewe. Ni kama ukisikia jambo chap unakuja JF kuliongelea.
Huyu ni 'attention seeker ' tu
 
Watajua wenyewe
Au wewe una hisa pale?
 
Mkuu sijakaza kutukana hivi ni vitu watu wanatoka navy nyumbani elimu ya utotoni sio ukubwani hata uelezejwe hauwezi kuelewa ndio maana nasema endelea mzee baba.
Hakuna sehemu Kuna tusi hapo kama wewe sio mnafiki quote ile sentence harafu onyesha tusi
 
Umempa jibu murua
Kuna watu wanarahisha sana wawe Simba au yangu ila mo ndo kaupa thamani Mpira wa bongo hata waliowekeza yanga walioangalia mo amefanya Nini na hapo ndo brand za yanga na Simba zi Kawa na thamani jezi ikawa biashara wakati kabla timu zilikuwa zinaendeshwa Kwa majungu tu na fitina
 
Mkuu acha kuita hayo majina. Hata sisi tuliitwa minyani, misokwe na mimbwa inayobweka weka.
 
We Utopolo tangu lini ukawa Simba..mwiko huu huko nyuma kama pembe la fisi..haufichiki
 
Kama mo hajawekeza pesa kwani Simba ilikuwa inaendeshwa na fedha za mama yako?
SASA hasira za nini kijana πŸ˜‚πŸ˜‚ au wewe Ndio mke wa Mo?. Mpira usiwafanye kuwaondoa kwenye akili zenu... Ukishamtukania mzazi ww unapata faida gani?. Hutaki ukweli? No alishasema anatoasaada na sio sehemu ya zile 20B.
 
SASA hasira za nini kijana πŸ˜‚πŸ˜‚ au wewe Ndio mke wa Mo?. Mpira usiwafanye kuwaondoa kwenye akili zenu... Ukishamtukania mzazi ww unapata faida gani?. Hutaki ukweli? No alishasema anatoasaada na sio sehemu ya zile 20B.
Kwani tusi lipo wapi wewe ***** au ndo unafosi mabwana humu
 
Unapumbazika mwenyewe shwain...business mind mjinga toleo la mwisho. Hiyo thank ya Simba haipandi?
 
Lini ulianza kuwa mshabiki wa Simba?! Bila shaka una kipele kinahitaji kukunwa.!
 
Kwasababu mama yako Kawa kama mbwa kila mtoto na baba yake unahisi inawezekana Kwa wengine?
Mama yako sindio kakuzaa wewe ambaye humjui baba yako unaweza ukawa kijana wangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…