Babu Kijiwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2010
- 4,845
- 4,776
Ahsante, Chadema nao wanasikiliza kwa sauti ya chini wakija huku wanabishabinafsi hata redio yao huwa nasikiliza, kwasababu kuna uwezekano mkubwa wa kujifunza vitu vipya ukifuatilia vipindi vyao. Na JUNGU KUU ya saa 3 na robo hivi ni my favourite
Kumbe wewe ni mfuatiliaji mzuri wa TBC mpaka unajua mikataba, usikose kipindi cha ARDHIO leo kuanzia sa1 kamili jioniYaani kabisa tuwe busy kuangalia TBCCM! Halafu kila siku mnajisifia kuzindua hiyo inayoitwa "mitambo mipya"! Na ile mliyobambikwa na Wachina kupitia Kampuni yao ya Startimes mtamuuzia nani?
Kumbe wewe ni mfuatiliaji mzuri wa TBC mpaka unajua mikataba, usikose kipindi cha ARDHIO leo kuanzia sa1 kamili jioni
Ulijuaje kama si kwa kuangalia? Hongera kwa uzalendo, hata leo najua uliangalia.Siku mtakapo achana na mapambio na hivyo kusimamia maadili ya kazi yenu, huku mkiifanya hiyo TBC kuwa mali ya Watanzania wote! hakika nitawaangalia muda mwingi tu.
Ila kwa sasa mtanisamehe. Maana hamna kabisa tofauti na Channel ten. Bora hata Utv na ITV ila siyo TBC.