Wanachama Yanga wachana na kuchoma magazeti ya Reginald Mengi!

Nilidhani wamewavamia wauza magazeti na kuyachoma,kumbe wameyanunua!!

Hili zoezi likiwa endelevu tena nchi nzima,Mengi atatengeneza pesa sana

Upumbavu ni kitu kibaya sana; hawa vilaza wanadhani kwa kuyanunua magazeti ya Mengi na kuyachoma ndio kumuadhibu, hawana uelewa kuwa kwa kfanya hivyo wanamuongezea mapato!!! Endeleeni na Manji wenu kununua Nipashe na Guardian kila siku na muwe mnayachoma!!
 
Mkuu hebu tuwekee hapa uthobitisho wa gazeti la IPP linalo msakama Manji kuanzia January hadi May mwaka huu!
 
Huwa nikiona hivi namkumbuka mzee mmoja alikuwa anasisitiza sana ELIMU, ELIMU,ELIMU.....wanatumika vibaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…