Ndio tatizo la timu kushindwa kujiendesha zenyewe.
Naomba uthibitisho wa hii habari kutoka kwa Makoye Matale na mandieta, maana huyo wa kushoto ni kama mmojawapo.
Usijadili mtu, jadili hoja. Je, si kweli kwamba watu wazima walipiga magoti kumuomba YM abadili uamuzi wake wa kutogombea tena uenyekiti?