TAARIFA KWA UMMA.‼️
19 Juni 2026, Mahakama ya Mwanzo Kizumbi, imewahukumu wanachama (4) wa CHADEMA Kata ya Lyabukaende kifungo cha miezi minne gerezani au faini ya Tsh 300,000 kila mmoja.
Waliohukumiwa kwa kile kinachoitwa “kufanya fujo” katika mkutano wa Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga Julius S. Mtatiro ni;
1. Masele Bahati Lubongeja
2. Raphael Henri Masangwa
3. John Charles Mashenene
4. Zephania Lugwisha Maduhu
Hukumu hii ni mwendelezo wa mbinu za kukandamiza sauti za mabadiliko na kuwatisha wananchi wanaosimamia haki zao za kiraia. Tena akifanya mtu aliyewahi kuwa mpinzani wa CCM.
Wakati chama kikijipanga kuchukua hatua za kisheria ikiwemo kukata rufaa katika hatua inayofuata; Tunamuomba kila mpenda haki, Watetezi wa haki za binadamu ndani na nje ya nchi;
Kuchangia kiasi chochote ili kuwalipia faini wenzetu, kwa kila mmoja kiasi cha Tsh 300,000. Wanachama wanne (4) Jumla kuu ni Tsh 1,200,000. Tunaonyesha SOLIDARITY dhidi ya wahuni.
Jinsi ya Kuchangia:
M-Pesa Namba: 0764 662 049
Jina: CHADEMA KANDA YA SERENGETI
Nitachanga na wewe changa.
1200 x 1000 = 1,200,000 tunahitaji watu 1000 tu!
ANGALIZO: MSIJE MKALIPA. AINI WAKAPOTEZWA KAMA CHAULA. TAKE CARE Erythrocyte