DAGAA WA MWANZA
Senior Member
- Jan 27, 2019
- 169
- 465
- Thread starter
- #21
Ni ulevi tu wa bundle unakusumbuaHapo maendeleo ya chato yanaletwa na Mh.Rais.Yeye hachangii kitu zaidi ya kujifanya naye humo.
Nashukuru jimboni kwangu hakuna ujinga wa hivi.Yaani mtu vitendo havionekani jimboni ila kisa kaivimbia serikali ndo nimpe kura! Pumbavu!