Wanachato huyu mama Husna Amri anawafaa, ni Halima Mdee mwingine

Hapo maendeleo ya chato yanaletwa na Mh.Rais.Yeye hachangii kitu zaidi ya kujifanya naye humo.
Nashukuru jimboni kwangu hakuna ujinga wa hivi.Yaani mtu vitendo havionekani jimboni ila kisa kaivimbia serikali ndo nimpe kura! Pumbavu!
Ni ulevi tu wa bundle unakusumbua
 
Hapo maendeleo ya chato yanaletwa na Mh.Rais.Yeye hachangii kitu zaidi ya kujifanya naye humo.
Nashukuru jimboni kwangu hakuna ujinga wa hivi.Yaani mtu vitendo havionekani jimboni ila kisa kaivimbia serikali ndo nimpe kura! Pumbavu!
Hajaivimbia serikali,,kuna vibaka nasikia walishusha bendera zake,,akawafokea sijui,,wakamshitaki,,sasa sijui nasikia akakamatwa,,sijui ikawaje tena,nukasikia sijui,anadai waliomshushia bendera,waje hapa,,
Sijui tena ikawaje,,ghafla kawa moto kuzidi bibi titi,,
Huyu mama ni fire..
 
Hongera sana kiongozi Dada Husna. Sijui CDM wanakosea wapi, wale kina mama Waheshimiwa waliounga juhudi sikuwa kusikia hata sauti zao mjengoni ama nje.
Kama ile mbaula niliisikia tu kwenye kuunga juhudi. Yaani katika miaka mitano bungeni anasikika dakika ya tisini akiunga juhudi, pumbavu kabisa.
 
Ufire wake hauna faida yoyote kwa wananchi.Aliyeibadilisha Chato ni Mkuu mwenyewe. Na litakuwa jambo la ajabu sana kama wanachato wataichagua CDM over CCM.
 
Chadema weupe hawawez kujua hili watashangaa tu holla
 
Hongera sana kiongozi Dada Husna. Sijui CDM wanakosea wapi, wale kina mama Waheshimiwa waliounga juhudi sikuwahi kusikia hata sauti zao mjengoni ama nje.
Wanaangalia wowowo
 
Kama ile mbaula niliisikia tu kwenye kuunga juhudi. Yaani katika miaka mitano bungeni anasikika dakika ya tisini akiunga juhudi, pumbavu kabisa.
Mlaumuni mwenyekiti wenu anaeweka watu kwa vigezo vya nya.. Pu
 
Wengi walikuwa hivi tukawaamini mwisho wa siku wanaenda kuunga mkono juhudi
 
Njia pekee ya kutoka kimaisha ni kuwa ngangari kwenye siasa, hata wakupige mabomu Kama lijuakali at the end we umetoka kimaisha
 
Mmmmmm! Tuweke akiba ya maneno.Usishangae baadaye akiunga juhudi tena katikati ya kampeni.
Ni mawazo yangu lakini!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…