Wanachitchat kujeni hapa

polee Dina.
ila ina maana hujaenda kupima bali wabwia madawa tu ama?
 
polee Dina.
ila ina maana hujaenda kupima bali wabwia madawa tu ama?
Jana nilienda kupima wewe,hukuona uzi wangu ,,angalia nyuzi zangu utaona so dawa nimeanza kunywa leo
Nimeamka natembea kwa kunyata hovyohovyo
 
Naomba unikoe dj sepetu umeona gia aliyoingia nayo leo
hahahahaha huu si ndio mwezi wa mapenzi lakini?

kaamua kuwa romantic kwa kukutamkia kipindi hiki labda unaweza kupona fasta lol
 
hahahahaha huu si ndio mwezi wa mapenzi lakini?

kaamua kuwa romantic kwa kukutamkia kipindi hiki labda unaweza kupona fasta lol
Haya ngoja nimfatilie maana nahitaji nipone haraka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…