Darcityconfidential
JF-Expert Member
- Jul 14, 2015
- 351
- 367
Pole Bidada. Get well soon.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nadhani hakuna akupendae kama mm jf!Kumbe unanipendaga ee
kumbeee....basi sawa.Jana nilienda kupima wewe,hukuona uzi wangu ,,angalia nyuzi zangu utaona so dawa nimeanza kunywa leo
Leo nimeamua kusema lilikuwa penzi la moyomoyo!Au kwa vile valentine imekaribia ninii unanilaghai
hahahahaha huu si ndio mwezi wa mapenzi lakini?Naomba unikoe dj sepetu umeona gia aliyoingia nayo leo
Hapana buana, cipro ni kweli 2x2, kunywa dawa buana bado tunakuhitaji. Kula matunda kwa wingi na maji mengi.Sema haki ya Mungu?
Labda utani tu ila Mimi ndo najua yupi ni malkia wangu!We unapenda wengi mno nawe
huwezi jua...Haya ngoja nimfatilie maana nahitaji nipone haraka
Upone haraka mahabuba wangu!Sawaa asante