mzeewakungoa
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 4,969
- 13,919
Na ukipona utakuwa unakula vingapi?Eee nakula vyote
Kwa hio Ugonjwa unakuongezea appetite Ha ha ha ha ha ha. Au ni hilo joto la homa?Kimoja
hahahaha bora hata wewe umekuwa mkweliHuruma inauzwa siku hiz
sio wote mbona...Hatutoi bure,tukiwapa bure mnaongea sanaaa
kweli tenaHhhhaaaaa nyooo
Samaki mwenyewe mkubwa utammaliza?Eeee umeona ee
Mkitupa nn?Hatutoi bure,tukiwapa bure mnaongea sanaaa
ShkamooMkitupa nn?
Marhabaa.... Msaidie basi kujibu [emoji2]Shkamoo
Sijaelewa hata..Marhabaa.... Msaidie basi kujibu [emoji2]
SawaSijaelewa hata..
Labda nakunywa viwili kweli,,ntauliza baadae maana naona wenge tu hapHuyu mfamasia hana nia nzuri huyu[emoji3][emoji3]hawa wafamasia wa siku hizi sijui wana nini.
Yupo mwingine alimpa dozi ya vidonge vya amoxylin mtoto wa miaka 3,et 2×3[emoji15] tukasema ya leo ni hatari,tukampa kidonge kimoja tu ila alivolegea hatukutudia tena[emoji1] [emoji1] watatuua hawa wafamasia
Pole Dina wee utapona tyu