Wanachitchat kujeni hapa

Wanachitchat kujeni hapa

Huyu mfamasia hana nia nzuri huyu[emoji3][emoji3]hawa wafamasia wa siku hizi sijui wana nini.
Yupo mwingine alimpa dozi ya vidonge vya amoxylin mtoto wa miaka 3,et 2×3[emoji15] tukasema ya leo ni hatari,tukampa kidonge kimoja tu ila alivolegea hatukutudia tena[emoji1] [emoji1] watatuua hawa wafamasia
Pole Dina wee utapona tyu
 
Labda nakunywa viwili kweli,,ntauliza baadae maana naona wenge tu hap
 
Back
Top Bottom