Nyie leo mi naumwa jamani ,sitaki kulala kabisa nahisi ntapitiliza,nimeletewa dawa za typhoid cipro eti 2x2 kwelii??? Badala ya moja xmoja huyu mfamasia ana nia nzuri kweli na mimi,,dawa zilivyo kali mwee,,nimekunywa ka moja kwanza nikasikilizia baadae nikanywa ya pili tena nikanywa na panado ,sitaki kunywa zote kwa pamoja,
Nimeamka vibaya nyie hovyo hovyo ,usiku sijalala kama navutwa vutwa,halaf mim muoga wa kuumwa jamani,sina nguvu kabisa ila hamu ya kula ipo pale pale [emoji23][emoji23][emoji23] nimepatikana jamani niombeen nipone haraka sipendi kuugua,halaf naogopa kufariki ,,najua nitakufa ipo siku lakin naogopa nyie mpaka najuta kuzaliwa mie,mim nataka kuishi milele tu bana hata shida nyingi hivyo hivyo tuishi tu milele