Wanachitchat vipi! hali mbaya hatuonani kabisa..usawa unabana nini?

Wanachitchat vipi! hali mbaya hatuonani kabisa..usawa unabana nini?

Daby

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2014
Posts
33,894
Reaction score
76,810
Tuambiane tu ukweli, hamwonekani hali zimebana vifurushi haviungiki?

mfano kina nanii wapo wapi?
Tusalimianeni bhana.
 
Naona hadi umebadilisha wanawake....

mnaishi kwa amri ya mzee kama mashetani.
nimebadilisha wapi ??
mimi nipo ila napisha vijana wapya waje na mambo mapya
unajua hatuwezi kupigana nao vikumbo
 
Kwa ss ambao tupo huku kijijin tunapata nafuu kidogo hata kwa supa UNI ya vodacom. Fikiria kuwa jero unapata 100MB na buku unapata 250MB
Aseeeh afadhali nyie...

Itabidi tuhamie huko mzee baba...ndiyo wapi tujichange?
 
Back
Top Bottom