Wanachitchat vipi! hali mbaya hatuonani kabisa..usawa unabana nini?

Wanachitchat vipi! hali mbaya hatuonani kabisa..usawa unabana nini?

Kitafunwa chetu hicho hakitunziki kwa soko
hahaha

umenikumbusha kitu.

Waluguru wanapenda saana mashelisheli bhana.

Kuna kipindi nilikuwa nakaa hapa kabla haujafika mjini after mindu nimepasahau.

Ilikuwa ishu ya kupita nyumba kwa nyumba. Tukagonga nyumba moja watu hawaitiki...lakini panasikika kuna mtu anatafuna.

kugonga mara ya pili dogo mmoja akaitikia wenyewe hawapo halafu kakalia masheli sheli kama matatu kwenye bakuli anayakandamiza.

Nilicheka saana....hii ishu huwa siisahau.
 
Bando ndio shida kaka yangu, nitumie hela bwana.
 
Back
Top Bottom