Wanachoamini wanasayansi wa zamani kuhusu kusimama kwa uume

Wanachoamini wanasayansi wa zamani kuhusu kusimama kwa uume

kante mp2025

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2022
Posts
631
Reaction score
1,192
Hadi miaka ya 1500, wanasayansi walidhani kwamba kusimama kwa uume kwa wanaume kulisababishwa na hewa ambayo ilijazwa kwenye uume na mwili wa mwanaume kupitia mbinu zisizojulikana.

Bila shaka, wanasayansi hawakuruhusiwa kufanyia upasuaji mwili wa binadamu kwa sababu kanisa katoliki lililaani sana wazo hili kwa kuwa mwili uliokuwa umefanyiwa upasuaji eti ungeonekana mbaya sana wakati wa kuwasili mbinguni.

Lakini kulikuwa na mtu mmoja aliyefanya upasuaji kwa siri. Na alikuwa ni yuleyule mtu aliyefafanua kwa usahihi kusimama kwa uume kwa mwanaume kutokana na maarifa yake ya kina ya anatomia na akili yake kubwa, na ndiye alikuwa wa kwanza kupata jibu hili kwa usahihi.

Mtu huyo ni Leornad Da Vinci
 

Attachments

  • Screenshot_20240614-180210.png
    Screenshot_20240614-180210.png
    407.9 KB · Views: 15
Upo kijiweni unabishana na wenzio umeamua kuleta mada kabisa. 😃😃😃😃😃😃
 
Back
Top Bottom