Wanachofanya CHADEMA, NCCR, CUF, ACT, UDP nk ni kampeni

Acha ushamba, kuna tatizo gani wakifanya kampeni??
WanaJf,
Salaam!
Kinachofanywa na vyama vya siasa nchini hususan nilivyotaja hapo juu ni uvunjifu wa Sheria.

Msajili wa vyama nchini, Serikali, CCM na mamlaka zingine chukuweni hatua kwa wakati vinginevyo deko mnalowapa hawa vyama ni hatari kwa nchi.
 
Wewe Muha vipi umeshavuna Parachichi hapo Kakonko Kigoma? Kwanini umeamua kuweka picha na jina lako halisi?
 
Parachichi sijavuna, nasubiri mbowe aje azinunue kwa tsh 800/kgs.
Nimeweka jina kwa kuwa hakuna chembe ya matusi, dhihaka nayoandika yenye kuvunja Sheria za kundi hili na nchi.
 
WanaJf,
Salaam!
Kinachofanywa na vyama vya siasa nchini hususan nilivyotaja hapo juu ni uvunjifu wa Sheria.

Msajili wa vyama nchini, Serikali, CCM na mamlaka zingine chukuweni hatua kwa wakati vinginevyo deko mnalowapa hawa vyama ni hatari kwa nchi.
hata anachofanya chongolo na wanachama wa ccm wengine ni kampeni pia na ndo kazi ya wanasiasa.
 
WanaJf,
Salaam!
Kinachofanywa na vyama vya siasa nchini hususan nilivyotaja hapo juu ni uvunjifu wa Sheria.

Msajili wa vyama nchini, Serikali, CCM na mamlaka zingine chukuweni hatua kwa wakati vinginevyo deko mnalowapa hawa vyama ni hatari kwa nchi.
Sukuma Gang mumebakisha kuvua nguo na kuanza kula majalalani, mumechamganyikwa mbaya na Mama ndiyo anazidi kuwapukutisha mdogo mdogo. Hamjui mshike lipi,nani mbaya wenu wala mshike lipi mnaparamia kila mtu. Damu zisizo na hatia alizomwaga huyu mtu wenu zinaanza kuwadhuru nyie vibaka wake.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Hili pumbavu ni masalia ya jiwe. Majitu kama haya hayafai kuwepo juu ya ardhi. Ni hatari kwa mustakabali wa maendeleo yetu. Wewe ngumbaru kwani kuna sheria yoyote inayokataza watu kufanya kampeni muda wowote wakitaka? Ni lazima kwani mpaka iwe karibu na uchaguzi
 
WanaJf,
Salaam!
Kinachofanywa na vyama vya siasa nchini hususan nilivyotaja hapo juu ni uvunjifu wa Sheria.

Msajili wa vyama nchini, Serikali, CCM na mamlaka zingine chukuweni hatua kwa wakati vinginevyo deko mnalowapa hawa vyama ni hatari kwa nchi.
Hizo ""kampeni"" ccm mlifanya kwa miaka 7 mkiwa peke yenu, acha ujinga.
 
Wanafanya kampeni kwasababu wanaongelea uchaguzi wa 2025 kila kwenye hotuba zao
 
Si bora hata wangefanya kampeni, wanafanya upuuzi tu hakuna la maana hadi sasa
 
Back
Top Bottom