WanaJf,
Salaam!
Kinachofanywa na vyama vya siasa nchini hususan nilivyotaja hapo juu ni uvunjifu wa Sheria.
Msajili wa vyama nchini, Serikali, CCM na mamlaka zingine chukuweni hatua kwa wakati vinginevyo deko mnalowapa hawa vyama ni hatari kwa nchi.
Wewe Muha vipi umeshavuna Parachichi hapo Kakonko Kigoma? Kwanini umeamua kuweka picha na jina lako halisi?WanaJf,
Salaam!
Kinachofanywa na vyama vya siasa nchini hususan nilivyotaja hapo juu ni uvunjifu wa Sheria.
Msajili wa vyama nchini, Serikali, CCM na mamlaka zingine chukuweni hatua kwa wakati vinginevyo deko mnalowapa hawa vyama ni hatari kwa nchi.
Tukianza kutumia nguvu yetu kudhibiti uvunjifu huo msilalamike - cc ni chama, ni taifa na ni nchi,
Vyombo vya dola vipo kwa ajili ya watanzania wote - vyama vyoteCCM hamna nguvu yoyote, sema mbeleko ya vyombo vya dola.
Parachichi sijavuna, nasubiri mbowe aje azinunue kwa tsh 800/kgs.Wewe Muha vipi umeshavuna Parachichi hapo Kakonko Kigoma? Kwanini umeamua kuweka picha na jina lako halisi?
Vyombo vya dola vipo kwa ajili ya watanzania wote - vyama vyote
hata anachofanya chongolo na wanachama wa ccm wengine ni kampeni pia na ndo kazi ya wanasiasa.WanaJf,
Salaam!
Kinachofanywa na vyama vya siasa nchini hususan nilivyotaja hapo juu ni uvunjifu wa Sheria.
Msajili wa vyama nchini, Serikali, CCM na mamlaka zingine chukuweni hatua kwa wakati vinginevyo deko mnalowapa hawa vyama ni hatari kwa nchi.
Chongolo anapita kuona uhai wa Chama si kampeni kama hao wapinzanihata anachofanya chongolo na wanachama wa ccm wengine ni kampeni pia na ndo kazi ya wanasiasa.
Sukuma Gang mumebakisha kuvua nguo na kuanza kula majalalani, mumechamganyikwa mbaya na Mama ndiyo anazidi kuwapukutisha mdogo mdogo. Hamjui mshike lipi,nani mbaya wenu wala mshike lipi mnaparamia kila mtu. Damu zisizo na hatia alizomwaga huyu mtu wenu zinaanza kuwadhuru nyie vibaka wake.WanaJf,
Salaam!
Kinachofanywa na vyama vya siasa nchini hususan nilivyotaja hapo juu ni uvunjifu wa Sheria.
Msajili wa vyama nchini, Serikali, CCM na mamlaka zingine chukuweni hatua kwa wakati vinginevyo deko mnalowapa hawa vyama ni hatari kwa nchi.
Hao wapinzani wanapiga kampeni kwenye uchaguzi gani na umetangazwa na tume gani na kwa nafasi gani? Nyie Sukuma Gang tayari mumepata kichaa cha mbwaChongolo anapita kuona uhai wa Chama si kampeni kama hao wapinzani
Hizo ""kampeni"" ccm mlifanya kwa miaka 7 mkiwa peke yenu, acha ujinga.WanaJf,
Salaam!
Kinachofanywa na vyama vya siasa nchini hususan nilivyotaja hapo juu ni uvunjifu wa Sheria.
Msajili wa vyama nchini, Serikali, CCM na mamlaka zingine chukuweni hatua kwa wakati vinginevyo deko mnalowapa hawa vyama ni hatari kwa nchi.
Stupidity,huu si msimamo wa CCM wala serikali.Tukianza kutumia nguvu yetu kudhibiti uvunjifu huo msilalamike - cc ni chama, ni taifa na ni nchi,