Wanachokifanya Marekani na NATO kwa ujumla dhidi ya Urusi ni sawa na kumbana paka kwenye kona; atakachokufanyia utakisimulia masha yako yote

Gaddafi Naye aliyataka mtu umestawi vizuri nchi yako halafu kuitwa chokochoko na marekani si utulie ule

Putin naye nchi ilikuwa iko vizuri kalala tu usiku kaota iko siku Ukraine itaishambulia Russia kaanzisha vita.Ona sasa vikwazo vinabomoa uchumi wa Russia kila kona kisa ndoto aliyoota Putin
 
wewe ninani?
kwamba usichokipenda wewe wote wasikipende
VIVA PUTIN
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…