YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Gaddafi Naye aliyataka mtu umestawi vizuri nchi yako halafu kuitwa chokochoko na marekani si utulie uleHaya waulize Walibya! Walidanganywa kuwa Gaddafi ni dikteta, anajilimbikizia Mali, mkimwondoa mtapata raha sana! Wakarubunika, wakamwasi Gaddafi na wakamwua!! Leo Walibya wanaishi maisha ya umaskini na marekani yuko pembeni akiwacheka! Wakti wa Gadafi maji na umeme vilikuwa bure, posho kubwa kwa kila asiye na ajira, ukioa unapata posho maalumu, pia kila ulipata mtoto unapata posho!! Leo vyote vimeota mbawa! Wanatamani Gaddafi angefufuka lakini haiwezekani! Hao ndio mabeberu!
Putin naye nchi ilikuwa iko vizuri kalala tu usiku kaota iko siku Ukraine itaishambulia Russia kaanzisha vita.Ona sasa vikwazo vinabomoa uchumi wa Russia kila kona kisa ndoto aliyoota Putin