YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa
Warusi wa Kisukuru na Nangulukulu mbona hamuelewiki? Jukwaani humu mnahubiri vikwazo vya Magharibi na US havina athari yoyote kwa uchumi wa Urusi, gafla vimeanza kukaba koo?.Wanachokifanya Marekani, NATO na mataifa ya magharibi kwa ujumla dhidi ya URUSI ni kuifunga mikono na miguu URUSI wakati ikipigana na UKRAINE, ili kuisaidia Ukraine kwenye vita hivyo. Hakuna asiyejua kuwa Nguvu ya kiuchumi ndiyo mikono na miguu inayohitajika sana wakati wa vita ili kuwezesha vita!! Kwa hiyo kuifunga nchi inayopigana miguu na mikono ni sawa na kumbana PAKA kwenye kona!! Akijiridhisha kuwa umembana na hana mahali pa kutokea, atabadilika ghafla na kuwa mnyama mkali na mwenye nguvu hujawahi kuona!! Lazima akuvamie na aondoke na pua zako!!
Urusi inaishiwa nguvu za kiuchumi kwa haraka sana kutokana na vikwazo vya kiuchumi na kuporwa mali zake zote ilizowekeza nchi za nje!! Niamini, Urusi itafanya UNYAMA wa kutisha maana haiwezi kukubali kushindwa hata kama imefungwa miguu na mikono, lakini kichwa kiko wazi!! Tutegemee VITA VYA NYUKLIA MUDA WOWOTE TANGU SASA NA MLENGWA WA KWANZA NI MAREKANI NA UINGEREZA.
Wenye ndugu nchi hizo waambieni warudi nyumbani kabla hawajachelewa!! Mark my words!!
Binadamu ndio wameharibu hii dunia, isingekuwa na watu ingekuwa ni eneo zuri zaidi.Dunia sio sehemu salama.
Itafikia wakati binadamu mwenyewe ndiye atakaye i destroy hii dunia.
Maana akilizi ikizidi mtu anashika mavi
Wanachokifanya Marekani, NATO na mataifa ya magharibi kwa ujumla dhidi ya URUSI ni kuifunga mikono na miguu URUSI wakati ikipigana na UKRAINE, ili kuisaidia Ukraine kwenye vita hivyo. Hakuna asiyejua kuwa Nguvu ya kiuchumi ndiyo mikono na miguu inayohitajika sana wakati wa vita ili kuwezesha vita!! Kwa hiyo kuifunga nchi inayopigana miguu na mikono ni sawa na kumbana PAKA kwenye kona!! Akijiridhisha kuwa umembana na hana mahali pa kutokea, atabadilika ghafla na kuwa mnyama mkali na mwenye nguvu hujawahi kuona!! Lazima akuvamie na aondoke na pua zako!!
Urusi inaishiwa nguvu za kiuchumi kwa haraka sana kutokana na vikwazo vya kiuchumi na kuporwa mali zake zote ilizowekeza nchi za nje!! Niamini, Urusi itafanya UNYAMA wa kutisha maana haiwezi kukubali kushindwa hata kama imefungwa miguu na mikono, lakini kichwa kiko wazi!! Tutegemee VITA VYA NYUKLIA MUDA WOWOTE TANGU SASA NA MLENGWA WA KWANZA NI MAREKANI NA UINGEREZA.
Wenye ndugu nchi hizo waambieni warudi nyumbani kabla hawajachelewa!! Mark my words!!
Ndio maana ukifa jina lako linaanza na RIPDunia sio sehemu salama.
Itafikia wakati binadamu mwenyewe ndiye atakaye i destroy hii dunia.
Maana akilizi ikizidi mtu anashika mavi
habari za kusadikika, hakuna wa kumtishia mwenzie nuclear kwan wote wanazo,Wanachokifanya Marekani, NATO na mataifa ya magharibi kwa ujumla dhidi ya URUSI ni kuifunga mikono na miguu URUSI wakati ikipigana na UKRAINE, ili kumbieni warudi nyumbani kabla hawajachelewa!! Mark my words!!
Russia hawezi kuamua tu kiholela kutumia bomu la nyuklia, na hata Biden nae kasema wazi hawezi kutuma majeshi Ukraine wala kuzuia anga la Ukraine kwani hiyo itakuwa WW3.
Russia mida hii wapo maporini wajipanga kuisambaratisha Kyiv iwe majivu.
Siku si chache Russia ataitwaa Kyiv.
Hivi hamchoki?Kwa sasa wajeda wa urusi wanajiandaa kuochukua kyiv na mbabe Putin kwa sasa keshasema hivi vikwazo vinamkomaza
Umefiika N.Korea na Iran ?US na EU ni manafiki makubwa. Ingekuwa vikwazo vinafanya kazi leo hii Iran na North Korea wangekuwa walisha salimu amri
Hi I nyie hizi habari mnazipatia wapi? Leo kuanzia cnn, times, BBC , aljazeera.. wameamua kusema ukweli Russia wanafanya unyama kyv imekaribia kuangamia hesabu siku 7 hivi Rudi humu utatuambiUrusi hawana unyama wowote ni maneno yenu tu timu Putini, mulitegemea siku 2 tu mnamaliza kazi ukrean sasa kinachowatokea mbele yenu hamuamini macho yenu, Putini alidanganywa ni majenerali wake kuhusu vita ya ukraine walimpasha vibaya sasa yanayomkuta haamini, leo amewafukuza kazi 8 lakini 3 wamefariki
Putini hakuwa na hesabu za kisayansi wenzake wanatumia sayansi vizuri zaidi, yeye anadanganywa ni idadi ya silaha alizonazo, warusi wengi wamekamata Ukraine kama mateka, mipango yao imefeli, sasa putini anakasirika ovyo mara atumie kemikali kuua ndugu zake au aweke sawa vinu vyake vya nuclear kutisha tisha
Leo 16 mkuu.,Hi I nyie hizi habari mnazipatia wapi? Leo kuanzia cnn, times, BBC , aljazeera.. wameamua kusema ukweli Russia wanafanya unyama kyv imekaribia kuangamia hesabu siku 7 hivi Rudi humu utatuambi
Ni saw na kuachana je unamwagia tindikali.??Wanachokifanya Marekani, NATO na mataifa ya magharibi kwa ujumla dhidi ya URUSI ni kuifunga mikono na miguu URUSI wakati ikipigana na UKRAINE, ili kuisaidia Ukraine kwenye vita hivyo. Hakuna asiyejua kuwa Nguvu ya kiuchumi ndiyo mikono na miguu inayohitajika sana wakati wa vita ili kuwezesha vita!! Kwa hiyo kuifunga nchi inayopigana miguu na mikono ni sawa na kumbana PAKA kwenye kona!! Akijiridhisha kuwa umembana na hana mahali pa kutokea, atabadilika ghafla na kuwa mnyama mkali na mwenye nguvu hujawahi kuona!! Lazima akuvamie na aondoke na pua zako!!
Urusi inaishiwa nguvu za kiuchumi kwa haraka sana kutokana na vikwazo vya kiuchumi na kuporwa mali zake zote ilizowekeza nchi za nje!! Niamini, Urusi itafanya UNYAMA wa kutisha maana haiwezi kukubali kushindwa hata kama imefungwa miguu na mikono, lakini kichwa kiko wazi!! Tutegemee VITA VYA NYUKLIA MUDA WOWOTE TANGU SASA NA MLENGWA WA KWANZA NI MAREKANI NA UINGEREZA.
Wenye ndugu nchi hizo waambieni warudi nyumbani kabla hawajachelewa!! Mark my words!!
Hapo ndo tunasema ukimbana paka kwenye kona ni hatari sana! Putin anaweza kufanya chochote huku akijua kuwa vita ya nyuklia haina mshindi! Ni maangamizi kwa wote! Busara ni kumwondolea vikwazo na kumtoa kafara Ukraine!Tatizo la Urusi ilitumia raslimali zake zote kujenga Jeshi badala ya uchumi
Nchi za Magharibi zenyewe zilitumia Raslimali zake kujenga uchumi kwanza na baada ya uchumi kukomaa ndio zikajenga Jeshi imara.Walibalance Urusi haikubalance ndio maana sasa uchumi hoi na uchumi ukiwa hoi kupigana vita sio rahisi.Mahitaji mengi ya Jeshi yanahitaji uchumi imara.Ukiyumba uchumi na jeshi litayumba.Na linaweza kuasi muda wowote
Hapo umenena!! Ukraine ametumika kama chambo tu! Mabeberu ni kwanza maslahi!Nope !!!!
Kinachotokea ni kama kujifungia ndani ili kuua panya unaondoa hewa ndani ya chumba, unasahau kwamba ukosefu wa hio hewa hata wewe inaweza kukuua...
America isipoangalia sanctions hizi ni double edge sword; ushirikiano wa Russia, China na nchi nyingine in long term unaweza kumuacha America na Dollar zake.....
Ingawa Europe kutokana na hili inaweza kuwekeza zaidi kwenye sources nyingine za Energy hence kuwa more energy independent....
As for wananchi Russia wananchi wengi walishazoea umasikini ni hao ma Oligarchy ndio wanaweza wakawa wanalia na visenti vyao (jambo ambalo hata Putin alishaanza kuwabana wengine ambao walikuwa mlengo mwingine)
To illiterate; hapa anayeumia ni raia wa Ukraine wanaotumika kama Pawns kwenye Others Political Chess Board; Sio NATO wala America wanaojali kuhusu Ukraine but their own self interests...
Haya waulize Walibya! Walidanganywa kuwa Gaddafi ni dikteta, anajilimbikizia Mali, mkimwondoa mtapata raha sana! Wakarubunika, wakamwasi Gaddafi na wakamwua!! Leo Walibya wanaishi maisha ya umaskini na marekani yuko pembeni akiwacheka! Wakti wa Gadafi maji na umeme vilikuwa bure, posho kubwa kwa kila asiye na ajira, ukioa unapata posho maalumu, pia kila ulipata mtoto unapata posho!! Leo vyote vimeota mbawa! Wanatamani Gaddafi angefufuka lakini haiwezekani! Hao ndio mabeberu!Yaani mimi kiongozi wa nchi akishakuwa dikteta , mwenye tamaa ya madaraka akibadili katiba ili aongoze milele, na kuwaongoza wananchi wake kwa mkono wa chuma siwezi kumkubali kamwe! Na hicho ndicho kinatofautisha hao 'mabeberu ' na hao madikteta wanaoshabikiwa humu.
Watu wamejazana humu wanamshabikia Putin, Kim Jong Un, Xi Ji Ping na madikkteta wengine wakati jiwe aliwaonjesha moto kidogo tu ukawa mtafutano. Mswahili ni mtu wa ajabu sana!
Ubaya wa hao madikteta wanawaziba midomo raia wao, kwahiyo ukiwa buza au kyaka huwezi jua ni namna gani wanataabika. Leo hii tunawashangilia hatujui raia wao wanawasapoti ama wanawachukia kiasi gani, hakuna uhuru wa mawazo/maoni. Ndio maana hata umasikini uliowang'ang'ania hao wananchi wao hatuujui kwa sababu hakuna nafasi ya kuupata vema. Wengi wetu huma tunaamini hizo nchi zote ni tajiri sana. Niliwahi sikia kuwa North Korea hata umeme kukata ni kawaida sana, ila humu utasikia kiduku kiduku balaa!
Unapomshabikia dikteta imagine kwanza hata hali za raia wake chini ya msoto katika karne hii ya 21.
Wabongo tunapenda kuwashabikia madikteta wakiwa kwingine, ila udikteta ukiingia kwetu ndo tunaanza kuchambua takwimu za demokrasia. Kwa sasa tuna amani umesahau kabisa.
Ukiwachukia wa magharibi angalau kuwa neutral tu basi.View attachment 2148163
Sent using Jamii Forums mobile app