Tumeumbwa wanadamu tofauti tofauti, kuna vitu huwezi eleza hata hujitahidi namna gani.... Kuna mtu unakuta wampenda hata ukiulizwa kwanini unajikuta tu ukisema mie nampenda tu! Tofautisha kati ya kumpenda mtu na kumtamani, Ukimpenda mtu unakuwa unamenda yeye mengine ni ziada tu.... Inaweza kuwa the little things inaweza kua a smile, the way anaongea... expressions, kicheko, vyote hivo vikajumuisha the person you have fallen for na ambae wampenda. Ukizungumzia material things kama kigezo cha kupenda.... hio sio kweli, hayo sio mapenzi for ina mana visipokuwepo basi hata penzi halipo. Personally nimpendaye nampenda... the whole of him... haijalishi hana kitu ama anacho, it is him as a person I love.