segere
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 539
- 260
mh,me cjui hata nampendea nini make kila cku ananibore bt bdo nampenda tu. . .
hapo tambua wazi hakuna kupenda Charminggirl wangu..pamoja na kwamba anakuboa kila siku huwezi kumwacha kwa sababu huenda tayari umezaa naye au waogopa kuishi maisha ya peke yako, huenda nawe wapenda kulelewa hata kama una kipato chako bado wahitaji mwongozo wa mme..ila tambua wazi hapo kuna UTUMWA wa KIMAPENZI..