Wanachokitaka wanawake

mh,me cjui hata nampendea nini make kila cku ananibore bt bdo nampenda tu. . .

hapo tambua wazi hakuna kupenda Charminggirl wangu..pamoja na kwamba anakuboa kila siku huwezi kumwacha kwa sababu huenda tayari umezaa naye au waogopa kuishi maisha ya peke yako, huenda nawe wapenda kulelewa hata kama una kipato chako bado wahitaji mwongozo wa mme..ila tambua wazi hapo kuna UTUMWA wa KIMAPENZI..
 
kila kitu kizuri nampenda kwa sababu nampenda siwezi elezea zaidi
 
Mimi wa kwangu kaniambia kanipendea kucha za miguuni na mi nimeridhika tuu.
 
usiusemee moyo
 
mimi wangu nampenda kwa sababu ana sifa zote za kiume.....ni mwanaume halisi....
 
Mie nitampenda kwa mwonekano na mengineyoila kama sita kwa sita haeleweki akuuuu
nakimbia fasta
 
wee nidanganye danganye danganye tuuuu,ukininiambia ukweli nitaumia.mimi moyo ukilipuka tu,ndio hapo hapo.haijalishi uwe mfupi au mrefu,una kitambi au huna kitambi,uwe na na hela au uwe huna,hayo siangalii kabisa
 
Du nampenda mwanaume mrefu mweusi charming handle with care kwenye mkwanja tunashare ila percentage inategemea nani ana income zaidi
 
Du nampenda mwanaume mrefu mweusi charming handle with care kwenye mkwanja tunashare ila percentage inategemea nani ana income zaidi

hii nayo inaonekana itakuwa inamuelemea mkaka wa watu kisa kakuzidi PAYE..
 
AshaDii, huyo unae mpenda kwa namna hiyo si alianza kukuvutia kwanza? Basi twambie unavutiwa na vigezo gani mfano. Nadhani ndio suali la mtoa mada (kama sikosei)
 
Last edited by a moderator:
wee nidanganye danganye danganye tuuuu,ukininiambia ukweli nitaumia.mimi moyo ukilipuka tu,ndio hapo hapo.haijalishi uwe mfupi au mrefu,una kitambi au huna kitambi,uwe na na hela au uwe huna,hayo siangalii kabisa
i believe you. Ni kweli kabisa huwa mnapenda kudanganywa na mwisho wake unakuwa mbaya. huwa hampendi kuambiwa ukweli au kutahadharishwa madhara ya baadhi ya vitu mnavyovifikiria.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…