Mapenzi inategemea umeangukia kwa nani?
1.Kuna mtu anahitaji penzi la kweli na la dhati, huyu material things uwa hayamsumbui-isitoshe yeye anaweza kuwa amejitosheleza.
2.Kuna mwanamke anakosa baadhi ya vitu, anapokupata yupo tayari kugharimikia ili mradi apate mambo adimu.
3.Kuna wanawake wanatumia charge na kuwa nawe ili ajinufaishe kwa muda huo mupo kwenye mahusiano, mfano nzuri baadhi ya wanafunzi wa vyuo, hapo pochi lako ndio linathamani kuliko mapenzi.
4. Kuna wanawake wengi, uanamke ndiyo mtaji wake, bila pesa hupati kitu kwa siku hiyo.
Mkuu uliangukia either type 3 or 4, sababu mapenzi yamekutesa, hasa pochi kuwa sucked.