Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Hawa watu kuanzia mwenyekiti wao wanaishi na nafsi zinazowatesa sana kwani wanajua kabisa kuna mtu wanamtesa, mtu asie na kosa wala hatia yoyote. Wanaumia na kuteseka sana wanapoona picha za Mbowe na wale washitakiwe wengine wanapoingia na kutoka mahakamani ila kwakuwa walishafanya kosa, hawana la kufanya bali kuishi na nafsi zinzowasuta.
Hivyo, ili wakwepa hii aibu, wanatamani sana kuona Mbowe anawapigia magoti jambo ambalo mpaka sasa limeshindikana na ndion maana wanachukia sana kuona Mbowe anapongezwa kwa kusimama imara kutouza utu wake.
Anyway, muda ndio utathibitisha ni nani mnufaika wa kisiasa wa hii kesi.