Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Mimi naomba Mungu amtendee kama Mwendazake,SSH anajitengenezea laaana kubwa sana huyu Mbowe kapambana na Mkapa, kapambana na Kikwete kwa hoja na upendo sasa alivyoingia devil akaja kuharibu kabisa hii nchi. Ila ukweli huyu Mzanzibar anachokitafuta hatokuja kuamini watakavyomkimbia wenzake. Kesi ya kijinga sana hii. Ila acha waje mashahidi wake tuone sarakasi ya jamhuri.
Subiri...atalala hataamka, asicheze na maombi ya watu aisee.Mimi naomba Mungu amtendee kama Mwendazake,
Nani anafungwa bana kesi mkaa ile mashahidi susu kila baada ya dk tano.Ngojeni afungwe Sasa arafu Miaka kumi tu inatosha nyie kupotean
FAM au ujuiNani anafungwa bana keai mkaa ile mashahidi susu kila baada ya dk tano.
FAM hamumuwezi, mwambie na mwenyekiti wako alijue hilo...mnajisumbua.FAM au ujui
Lkn Mbowe anaumia na hatujui anachokiwaza moyoni kwake. Yawezekana ukasikia kesho asubuhi amepiga magoti kuomba pooMh. Mbowe hawezi kumpigia magoti mwanadamu..
Mtasubiri sana!!Lkn Mbowe anaumia na hatujui anachokiwaza moyoni kwake. Yawezekana ukasikia kesho asubuhi amepiga magoti kuomba poo
Tatizo lipo kwa wafuasi wa Mbowe na watanzania wapenda demokrasia. Hivi imeshindikana kabisa kuliamsha dude mpk serikali na dola wakaomba poo???!
Kwa staili hii Mbowe atashikiliwa mpk uschaguzi mkuu wa 2025 upite
Hakuna Cha laana wewe,kumwajibisha gaidi Ni moja ya thawabu kubwa sana kwa Mungu.SSH anajitengenezea laaana kubwa sana huyu Mbowe kapambana na Mkapa, kapambana na Kikwete kwa hoja na upendo sasa alivyoingia devil akaja kuharibu kabisa hii nchi. Ila ukweli huyu Mzanzibar anachokitafuta hatokuja kuamini watakavyomkimbia wenzake. Kesi ya kijinga sana hii. Ila acha waje mashahidi wake tuone sarakasi ya jamhuri.
Kwahiyo mumumuweka mahabusu ili awapigie magoti!!Wengi wanaomsifu Mbowe kutokaa mezani nina uhakika hawajahi kukaa mahabusu hata siku moja. Wanampamba tu kwamba atakua Mandela wa Tanzania ila wakiambiwa wakakae wao ili wawe wakina Mandela sioni wa kukubali.
Daaa hizi njaa, oky goodHakuna Cha laana wewe,kumwajibisha gaidi Ni moja ya thawabu kubwa sana kwa Mungu.
#Mbowe ni gaidi
Hujui nature na history ya Mbowe - kaa chini kijana. Ndo nakwambia waambie na hao mnaofikiri Mbowe ni mwanasiasa msaka fursa - mmepotea.Lkn Mbowe anaumia na hatujui anachokiwaza moyoni kwake. Yawezekana ukasikia kesho asubuhi amepiga magoti kuomba po...
Hii kesi wangeifuta ni aibu kwa serikali ingeonekana ni shinikizo la lissu limefanya kazi hivyo baada ya muda mbowe kupeleka mashahidi utasikia dpp kaitupilia mbaliHawa watu kuanzia mwenyekiti wao wanaishi na nafsi zinazowatesa sana kwani wanajua kabisa kuna mtu wanamtesa, mtu asie na kosa wala hatia yoyote. Wanaumia na kuteseka sana wanapoona picha za Mbowe na wale washitakiwe wengine wanapoingia na kutoka mahakamani ila kwakuwa walishafanya kosa, hawana la kufanya bali kuishi na nafsi zinzowasuta.
Hivyo, ili wakwepa hii aibu, wanatamani sana kuona Mbowe anawapigia magoti jambo ambalo mpaka sasa limeshindikana na ndion maana wanachukia sana kuona Mbowe anapongezwa kwa kusimama imara kutouza utu wake.
Anyway, muda ndio utathibitisha ni nani mnufaika wa kisiasa wa hii kesi.
View attachment 2123222