FROZEN HEART
Member
- Sep 8, 2024
- 94
- 130
Habari WanaForums
Ni jambo ambalo nimelifikiria tu kuwa inakuwaje kama wanachuo au wasomi waliopitia chuo katika course zote kuanzisha chama cha kisiasa ambacho kitajumuisha ngazi zote za elimu yaani diploma, degree, na hata masters kwa lengo la kuleta chama kinachoweza kuleta hoja kuchanganua na kuzitetea mbele ya serikali.
Vipi hii imekaaje wakuu?.