Nyamshongoma
Member
- Sep 12, 2024
- 94
- 210
Kwa katiba iliyopo ni ngumu sana kuanzisha Chama ambacho CCM inajua kitakuwa tishio.Kwa katiba kama ya Kenya hilo linawezekana,kule unaanzisha chama leo baada ya mwezi mmoja kinaweza kusajiliwa.Pia hawana masharti ya kukwamisha usajili wa chama kama huku Danganyika.