FROZEN HEART
Member
- Sep 8, 2024
- 94
- 130
Imekaa poa,kazi mnayo?Habari WanaForums
Ni jambo ambalo nimelifikiria tu kuwa inakuwaje kama wanachuo au wasomi waliopitia chuo katika course zote kuanzisha chama cha kisiasa ambacho kitajumuisha ngazi zote za elimu yaani diploma, degree, na hata masters kwa lengo la kuleta chama kinachoweza kuleta hoja kuchanganua na kuzitetea mbele ya serikali.
Vipi hii imekaaje wakuu?.
Mkuu je CCM watakubali kukisajili?Una akili sana boss,agiza fanta..hii ndio system iliyoleta mabadiliko ulaya yote,kwamba wakulima wawe na chama Chao cha siasa cha kuwatetea, wafanya biashara..wanafunzi, walimu,...
Hahaha mbavu zangu. Ila zina shock absorbers. Zile wiring zilizopo kwenye poumbou maamaee anayesema Mungu hayupo namshangaa sana.Shida kende hazina helmet
Hawawezi kukubali,fikiria madhira wanayopitia walimu,leo wawe na chama cha Siasa itakuaje..Mkuu je CCM watakubali kukisajili?
Unakumbuka CCJ walivyoipiga chenga kuisajili?Hawawezi kukubali,fikiria madhira wanayopitia walimu,leo wawe na chama cha Siasa itakuaje..
Sasa ukishaunda chama ukawa na ushawishi watakupa asali ulambe ukikataa kendeeeeeeHahaha mbavu zangu. Ila zina shock absorbers. Zile wiring zilizopo kwenye poumbou maamaee anayesema Mungu hayupo namshangaa sana.
Unakumbuka CCJ walivyoipiga change kuisajili?
Nakumbuka tu walifungua kesi dhidi ya msajiliUnakumbuka CCJ walivyoipiga chenga kuisajili?
Kazi ipi mkuu au unasema kuajiliwaImekaa poa,kazi mnayo?
Na ilikuwaje baada ya kufungua hayo mashtaka kiongoziNakumbuka tu walifungua kesi dhidi ya msajili
Kusoma kupo TU na wa some alafu ajira hamna wajue hiloWaacheni wasome...
Hivi vilivyopo havitoshi ?Habari WanaForums
Ni jambo ambalo nimelifikiria tu kuwa inakuwaje kama wanachuo au wasomi waliopitia chuo katika course zote kuanzisha chama cha kisiasa ambacho kitajumuisha ngazi zote za elimu yaani diploma, degree, na hata masters kwa lengo la kuleta chama kinachoweza kuleta hoja kuchanganua na kuzitetea mbele ya serikali.
Vipi hii imekaaje wakuu?.
Ccm watakulaani,sababu vyama hivi vina agenda za nyuma ya pazia,imagine alumni wote mtaani wawe na hoja za kuingia ikulu,mtaaxha watu wawe viziwi,na.wangine wakojoe white fluidHabari WanaForums
Ni jambo ambalo nimelifikiria tu kuwa inakuwaje kama wanachuo au wasomi waliopitia chuo katika course zote kuanzisha chama cha kisiasa ambacho kitajumuisha ngazi zote za elimu yaani diploma, degree, na hata masters kwa lengo la kuleta chama kinachoweza kuleta hoja kuchanganua na kuzitetea mbele ya serikali.
Vipi hii imekaaje wakuu?.
Labda hujanielewa mkuu ninachomaanisha Mimi ni kiwe na wanachuo wengi sana ila kiwe kina jumuisha watu wa aina zote wakulima wamedereva kulingana na watu tulionao mtaani na wanachuo piaIngekuwa ni rahisi hivyo kungekuwa na chama cha siasa cha wajasiriamali, bodaboda nk. Kwa sheria ya vyama vya siasa bila shaka inataka chama kiwe na watu wote bila kubagua elimu, umri nk. Muhimu wahusika wawe raia halali wa Tanzania.
Watajua wenyewe ili mradi ni haki ya Kila mtanzania kufanya hivyoCcm watakulaani,sababu vyama hivi vina agenda za nyuma ya pazia,imagine alumni wote mtaani wawe na hoja za kuingia ikulu,mtaaxha watu wawe viziwi,na.wangine wakojoe white fluid
Vimeleta manufaa gani katika jamii?Hivi vilivyopo havitoshi ?