Wanachuo na wahitimu naomba tubadilishane mawazo kwa hili!

Mashaxizo

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2013
Posts
6,707
Reaction score
3,346
Ktk kuisaka shahada nimekuwa nikichanganywa na malecturer kutokana utofauti wao wa yale wanayoyafundisha vyuoni!

Hapa nitaweka mifano miwili:
  • Katika Adminstative law, tulifundishwa 'Alter ego theory' tukaambiwa inahusiana na uwajibikaji wa mawaziri! Ikumbukwe, legal system ya Tz ni zao la Common law = tumecopy na kupaste legal sytem ya Uingereza!

    Alter ego theory ukiigogle unaletewa mambo mengine kabisa na wala haina mahusiano na administrative law! Bali inaongelea limited liabity ktk makampuni inayoongelea mambo ya hisa!

    Mmh! Hiyo kitu iliniumiza kichwa mwisho wa siku nikasema lecturer ndie necta wangu!

    Kwa bahati njema, mara hii tunacorse ya "bussiness association law"
    Madam ametufundisha sifa za Company na kuelezea zile sifa nilizozikuta gogle kuhusu ile Alter ego theory, nikasema wacha nijaribu kumuuliza, mwee! Hajawahi hata kuisikia ingawa kile alichotufundisha ni Alter ego theory ya Uengereza!


  • Katika Land law, tulifundishwa kitu kinaitwa 'Land value' akatupa theory ya Nyerere kuhusu land value, short and clear ni kuwa Nyerere alisema 'Ardhi tupu haina thamani yoyote!' tukaambiwa Nyerere aliitoa hiyo theory mwaka 1958 ili kuzuia ardhi ya Tz isiuzwe kwa wazungu, ili vizazi vijavyo (akina sisi) tupate ardhi! Na hiyo iko wazi na nitofauti na Kenya ambako ukizaliwa na familia isiyo na ardhi hautoweza kupata ardhi kamwe!

    Mkanganyiko umekuja semister hii katika cozi 'Conveyancing law' inahusu transfer of land, na mada zake ni zile zile za Land law (Lease, sale na mortgage)
    nilianza kujiuliza hapo, hili somo linafaida gani wakati hizo topic tumeshazisoma?
    Jee hili ni kosa la chuo husika au TCU?

    pili, huyu madam wa sasa naye akaja na mada ya 'land value' kwa vile alijua tumeshasoma, akatuuliza 'mnafahamu nini kuhusu land value?' mimi nikamjibu na kumshuka kama tulivyofundishwa. Afanalek kufa hakuna breki! Huyu Madam hata 'Nyerere theory of land value' haijui, na ukizingatia Nyerere ndie muasisi wa hiyo theory hapa Tz!
mikanganyiko kama hiyo inajenga kutojiamini kwa wanafunzi!
Wadau naamini hilo tatizo halipo kwenye Sheria tu bali hata cozi nyengine lipo!

Jee hili ni kosa la TCU kama wao ni wapitishaji wa mitaala ya vyuo?

Au ni kosa la Malecturer?

Au ni kosa la chuo husika kwa kubadili malecturer?
Tujadili.
 
malecture nadhan ndio wenye makosa kwa kuwa hawafany research pind mitaala inapobadilika, so inakuwa vgumu kwao kuendana na mtaala husika
 
malecture nadhan ndio wenye makosa kwa kuwa hawafany research pind mitaala inapobadilika, so inakuwa vgumu kwao kuendana na mtaala husika

Mmh! Huo ni uzembe wa hali ya juu!
Ivi hawa TCU wakibadili mitaala huwa hawatoi taarifa kwa vyuo husika?
 
kuna jamaa alikuja kuniuliza swali kama hilo.lakini ni maada tofauti,kumbe yeye alichanganya.kila kitu kinakuwa na maana tofauti mda mwingine. Mfano ukisema nini maana ya production kwenye uchumi ni tofauti na general meaning kwenye field nyingne,mfano pia kwenye uchumi micro v macro economics capital ina maana tofauti kwenye micro na macro.
 
inawezkana ni makosa ya lecturers pia.kwani chuo gani mkuu unasoma.maana kuna jamaa mmoja aliniambia kitu kimoja kwenye law ambacho mwalimu wao alichanganya kumbe.
 
mkuu​ nadhani kwenye corporation law na admn law ni tofauti kidogo .kwenye corp law hiyo theory naona mbona ni nadharia inayo violate the veil of corporation?na kwenye admn law ni tofauti....fanya research vizuri tuone
 
aisee hapa nimetoka kapa

hii mada ngumu kumeza

Hahahahaaaa!
Mwekundu usijaribu kujadili hiyo mifano niliyoiweka hapo! Hiyo mifano ni kuproof nilichokisema tu!

jee haujawahi kufundishwa kitu kimoja na malecturer wawili tofauti na ukagundua huyo lecturer wa pili anaongea kitu tofauti na yule wa kwanza?

Jee ulishawahi kusoma cozi moja mara mbili ie mada zile zile bila ya sap wala carry?
 
hili ni tatizo la lecturers kwani wengi wao ni vihiyo na wanamiliki degree za chupi. lecturers hawafanyi utafiti wa kutosha kabla ya kuingia lecture theatres. wengi wana ugonjwa wa 'copy and paste' na sio wadadisi wa mambo wanayofundisha. wanachoweza ni ku-google na kukopi notes kutoka mtandaoni na kuja kuzi-paste insitu darasani!
 
Nimekusoma mkuu, but hiyo mikanganyiko ya hapo inatoka kwenye kitivo chetu!
Hasa hiyo 'land value' ya conveyancing law na Land law! Kuthibitisha hilo, hiyo mada na masomo hayo, vyote vinatumia Acts hizo hizo!
inawezkana ni makosa ya lecturers pia.kwani chuo gani mkuu unasoma.maana kuna jamaa mmoja aliniambia kitu kimoja kwenye law ambacho mwalimu wao alichanganya kumbe.
Mwenyewe nahisi ni makosa ya lecturer but anaepaswa kuwajibishwa ni mkuu wa kitivo, kwani yeye ndie anaeita malecturer na ndie anaewapa cozi na mada za kufundisha!

Mkuu niko Private University Morogoro hapa!
And may be haya matatizo yapo kwa Private University tu. But kama siamini hilo coz malecturer wa vyuo vya serikali ni hao hao wa vyuo binafsi!
mkuu nadhani kwenye corporation law na admn law ni tofauti kidogo .kwenye corp law hiyo theory naona mbona ni nadharia inayo violate the veil of corporation?na kwenye admn law ni tofauti....fanya research vizuri tuone

Kwa hapo nimejiridhisha Alter ego theory kwa Tz inatumika vyengine! But nimehisi ni uzembe kwa lecturer wa Bussiness association kutoitambua hiyo theory! Ni sawa na shehe/pastor kuelezea pepo na moto na wakati anaonyeshwa ule moto na ile pepo ndio hii halafu anasema mimi sivijui hivo!
 

Mmmh! Hiyo ni kweli tpaul.
Lakini chuo kama chuo ndio wazembe! Sijui hata wanatumia vigezo gani kuchukua malecturer wa nje/per day!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…